“Nianze kwa kumshukuru Mungu kwa kuokoa maisha yangu. Pamoja na kupitia kipindi kigumu lakini daima amesimama upande wangu. Marafiki zangu, napenda kuwashukuru wote kwa maombi yenu na kunitakia kheri. Mungu awazidishie kwa wema wenu. Baraka za Mungu ziwe nanyi leo na daima”
Kama utakuwa unakumbuka vizuri Mohammed Dewji alitekwa alfajiri ya Alhamisi ya October 11 2018 akiwa Colosseum kwa ajili ya mazoezi ya utimamu wa mwili (Gym).