Post Top Ad
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Sport. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Sport. Onyesha machapisho yote
Ijumaa, 6 Januari 2023
ROBERTINHO AVUTIWA NA WANNE YUMO KIBU D !!
Triple E
Januari 06, 2023
Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya Simba kinasema baada ya mechi ya juzi kocha mkuu wa Simba, Mbrazil Robertinho alithibitisha kuvutiwa na...
Jumatatu, 2 Januari 2023
Mshambuliaji Cesar Manzoki anatarajiwa kuwasili nchini Tanzania wiki hii
Triple E
Januari 02, 2023
Mshambuliaji Cesar Manzoki anatarajiwa kuwasili nchini Tanzania wiki hii kukutana na viongozi wa Simba SC kujadili uwezekano wa kuhamia ka...
Alhamisi, 29 Desemba 2022
Pele kafariki
Triple E
Desemba 29, 2022
𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚 𝗡𝗘𝗪𝗦: Mfalme wa soka wa Brazil PELE ambaye anashikilia Rekodi ya mchezaji PEKEE kushinda kombe la Dunia mara tatu (3) a...
Rais wa klabu ya Yanga SC amesisitiza kuwa kiungo Feisal Salum ataendelea kuitumikia klabu ya Yanga
Triple E
Desemba 29, 2022
Rais wa klabu ya Yanga SC amesisitiza kuwa kiungo Feisal Salum ataendelea kuitumikia klabu ya Yanga na hakuna namna mchezaji yoyote muhimu...
Victor Wanyama kuhusu Sadio Mane kunyimwa Pasi na wachezaji
Triple E
Desemba 29, 2022
VICTAR WANYAMA🇰🇪 KUHUSU SADIO MANÈ KUNYIMWA PASI Maneno ya Victor Wanyama kuhusu Sadio Mane kunyimwa Pasi na wachezaji wenzake wakati an...
Prison watapa milion 30 wakiifunga Simba
Triple E
Desemba 29, 2022
Kuelekea mchezo wa Simba SC dhidi ya Prisons utakaochezwa Ijumaa ya December 30, 2022 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Mkurugenzi wa Silen...
Jumatatu, 26 Desemba 2022
SOPU NDIO MBABE WA DIARA
Triple E
Desemba 26, 2022
Abdul Suleiman Sopu Mzaliwa na Fahari ya Mkoa wa LINDI alikataa ofa ya kujiunga na Young Africa's na kujiunga na Matajiri Azama Fc kw...
Jumamosi, 24 Desemba 2022
Mohammed Dewji atoa billion moja point mbili kwenye usajili Simba
Triple E
Desemba 24, 2022
Rais wa heshima Mohammed Dewji ametoa pesa inayofikia billion moja point mbili 1.2 billion kwa ajili ya Usajili wa dirisha hili dogo la Usa...
Klabu ya Yanga inapenda kutoa taarifa kwa umma kuhusu Feisal Salum Abdallah
Triple E
Desemba 24, 2022
TAARIFA KWA UMMA KLABU ya Yanga inapenda kuujulisha umma na Wanachama wa Yanga kuhusiana na taarifa za mchezaji wetu Feisal Salum Abdallah...
Alhamisi, 27 Oktoba 2022
JUMA KASEJA AMELALA USINGIZI WA MAUTI JUMA KASEJA AMELALA FOFOFO.
Triple E
Oktoba 27, 2022
Kama mungu angenichukua mapema basi nisingeweza leo kuwasimulia mambo haya makuu katika ulimwengu soka katika dunia yenye watu takribani bil...
Simba kafungwa na Azam
Triple E
Oktoba 27, 2022
Dube kaifunga simba goli la kitatili angalia hapa
Jumatatu, 24 Oktoba 2022
Msimamo wa NBC league
Triple E
Oktoba 24, 2022
MSIMAMO: Singida Big Stars ‘wanachumpa’ hadi nafasi ya tatu wakifikisha point sawa na vinara. #Standing #Msimamo #LeagueTable #MsimamoWa...
Jumatatu, 22 Agosti 2022
Cristiano Ronaldo kutua zamalek sc
Triple E
Agosti 22, 2022
Mashabiki wa Klabu ya Zamalek SC 🇪🇬 kupitia mabango Yao wamemuomba Mshambuliaji wa Klabu ya Manchester United,Cristiano Ronaldo kujiunga...
Jumapili, 21 Agosti 2022
Cesar Manzoki kutua Simba kwa milioni233
Triple E
Agosti 21, 2022
Vyombo mbalimbali vya Habari za Kimichezo kutoka Nchini Uganda na Tanzania vimeripoti Kuwa Klabu ya Simba SC imekubali kutoa Kiasi Cha Dol...
Barcelona kudaiwa euro milion 102
Triple E
Agosti 21, 2022
Klabu ya Barcelona imeripotiwa kudaiwa euro milioni 102 za mishahara ya Manahodha wake wawili Gerard Pique na Sergio Busquets. Tetesi zina...
Mzungu amekuwa tishio kafunga goli Tamu sana
Triple E
Agosti 21, 2022
Mashabiki wa simba wamefurahi jana kwa kupa ushindi wa goli mbili bila dhidi ya Kagera
Jumanne, 5 Julai 2022
Sopu aliyewapiga hat-trick Yanga atua Azam FC
Triple E
Julai 05, 2022
Club ya Azam FC imetangaza kumsajili Abdul Seleman Sopu kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Coastal Union ya Tanga Taarifa zisizo rasmi zin...