Mashabiki wa Klabu ya Zamalek SC 🇪🇬 kupitia mabango Yao wamemuomba Mshambuliaji wa Klabu ya Manchester United,Cristiano Ronaldo kujiunga na Klabu hiyo kipindi hiki Kabla Dirisha la Usajili halijafungwa.
Mashabiki hao wameandika "Ronaldo njoo kwenye Klabu Bora Barani Afrika"