Post Top Ad

Jumamosi, 24 Desemba 2022

Mohammed Dewji atoa billion moja point mbili kwenye usajili Simba


 Rais wa heshima Mohammed Dewji ametoa pesa inayofikia billion moja point mbili 1.2 billion kwa ajili ya Usajili wa dirisha hili dogo la Usajili hili kuimalisha kikosi chetu vyema kuelekea kwenye mashindano ya hatua ya makundi CAF pamoja na muendelezo wa wa ligi ya ndani kwa duru hili la raundi hii ya pili.


Mo amewataka kamati ya usajiri na viongozi wengine wote wasajili nyota wazuri wataoweza kuisaidia simba kwenye mashindano ya ndani pamoja na klabu bingwa Afrika.


Mo ametaka pia usajili ufanyike kwa wachezaji wasiozidi 4 ila wawe wachezaji wa nguvu na waviwango

Ads

Post Top Ad

Pages