Abdul Suleiman Sopu Mzaliwa na Fahari ya Mkoa wa LINDI alikataa ofa ya kujiunga na Young Africa's na kujiunga na Matajiri Azama Fc kwa ada ya Uhamisho ya Million 100 ambazo Yanga walishindwa .
Aliwafunga Hat trick ⚽⚽⚽ kwenye Fainali ya Kombe la TFF FA na Leo ameweka mawili kambani, licha ya Kupoteza
SOPU amewaonyesha Yanga Golikipa wao Sio mdaka mishale kama wanavyojigamba amemfunga Magoli matano Ndani ya Mwaka Mmoja , Hivyo wanapaswa Kuliangalia hili kipindi hichi Mechi za Kimataifa karibuni kianza