Post Top Ad

Alhamisi, 29 Desemba 2022

Pele kafariki



𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚 𝗡𝗘𝗪𝗦: Mfalme wa soka wa Brazil PELE ambaye anashikilia Rekodi ya mchezaji PEKEE kushinda kombe la Dunia mara tatu (3) amefariki Dunia leo Alhamisi Disemba 29, 2022 akiwa na umri wa miaka 82.


Pele ni moja wa wachezaji Bora kabisa katika historia ya soka aliripotiwa kushindwa kuendelea na matibabu ya chemotherapy katika pambano yake dhidi ya saratani ya tumbo ambayo iligunduliwa mnamo Septemba 2021 na kuhamishiwa kwa huduma ya afya ya mwisho wa maisha.

Ads

Post Top Ad

Pages