VICTAR WANYAMA🇰🇪 KUHUSU SADIO MANÈ KUNYIMWA PASI
Maneno ya Victor Wanyama kuhusu Sadio Mane kunyimwa Pasi na wachezaji wenzake wakati anaichezea Southmpon kabla ya kujiunga na Liverpool 👇🏾
Wakati mmoja tukiwa pamoja Southmpotn Mane alikuja na kuniambia , hawa jamaa hawataki kunipitishia mpira, ili nifunge je, sisi wawili tunaweza kucheza kwa ukaribu.
Hawataki nifunge bao.' Nilikubali bila kupinga na wakati wowote nilipopata mpira nilimpasia. Nilitaka kumtendea haki kwa vile ni mtu mzuri
Victor Wanyama wa kenya