Staa wakike Bongo Irene Uwoya amezungumza kuhusu December 18 ambayo amekuwa ikaiandika sana kwenye ukurasa wake wa Instagram ambapo kasema ni tarehe yake ya kuzaliwa hivyo atafanya kitu cha tofauti kidogo ambacho hakupenda kukitaja, lakini hata hivyo ameizungumzia Club yake mpya anayotaka kuizindua ndani ya mwezi huu.