Kafunguka kuhusu mausiano yake na theofficialgoldman amesema kuwa chanzo kilicho fanya msanii huyo kuwa chizi(kichaa) na kushindaa mtaani na kwenye majalala ya takata alicheza na hisia zake na kuanza Kutembea na watu wengine (cheating) kutomthamini na kumjali hadi akafikia kwenye hatua hiyo
Lakini amejari kumtafuta yeye,ndugu,name marafiki zake hapokei simu na wakipokea wanamfokea pia alikuwa anahitaji kuomba msamaha kwa kilichotokea