Post Top Ad

Jumamosi, 8 Desemba 2018

Msanii Officialthegoldman mwanafunzi wa Chuo cha uhasibi TIA Kuweuka na kuwa chizi kisa kuachwa na Mpenzi wake

 Hii imesababishwa na mpenzi wake ambaye alikuwa anaishinaye kuachana na kupelekea akili yake kuchanganyikiwa kwa sababu alikuwa ana mpenda sana
Lakini tumejari kuongea na marafik zake wa hapo chuo
Inasemekana kuwa chuo haonekani na kwenye simu hapatikani na pia kipindi hikhiki nicha mtihani cijui atafanya vipi kwa sababu haonekani katika mazingira ya chuo

Ads

Post Top Ad

Pages