Post Top Ad

Jumamosi, 10 Agosti 2019

BREAKINGNEWupdate;LOLI LA MAFUTA LAWAKA MOTO,WATU ZAID YA 100 WADAIWA KUFARIKI

Lori lililokuwa limebeba mafuta lilikuwa limetokea dar es salaam lilipofika eneo la itigi Morogoro kukawa namwendesha bodaboda akakatiza mbele ya lori hilo wakati mwenye lori anamkwepa ndipo hilo likaanguka upande wakushoto mwa barabara,kisha akajitokeza mtu mmoja kuchomoa betrikwnye lori hilo ,watu mbalimbali haswa wakiwemo waendesha bodaboda nao walifika eneo la tukiokwa ajili ya kuiba mafuta na wakapoteza maisha zaidi ya watu 100








Ads

Post Top Ad

Pages