Post Top Ad

Jumapili, 21 Agosti 2022

Rayvanny kupost emoji za kucheka kwenye shughuli ya Barnaba

 



Kipindi Shughuli Ya Barnaba ikiendelea Mlimani City Ambapo Diamond na Mpenzi Wake Zuchu Pia Walienda Pale Kumsapoti Barnaba, Rayvanny kupitia instori Yake Alipost Emoji Za Kucheka…. Huku Shughuli Ya Barnaba Ikiwa Inaendelea MlimaniCity.!😂😂 🤦

_

Sasa Sijui Alimaanisha Nini..?.🤦 Au Naye anataka Kutembelea Upepo wa Baba Lao Nini.?. 🤦Kaona asipofanya hivyo hatakiki atapotea Ndomaana kaanza chokochoko kidogo Kidogo 🙆 Maana ishazoeleka ili Msanii ukiki lazima Umdisi Diamond Maana Diamond Platnumz Ni Kama Maji🤦 usipoyaoga utayanywa😅😅

_

Sema Nini..?. Hapa Ninachoona Mimi huenda ikawa Kweli Kuwa Huyu Rayvany kajiona kabisa Kuwa Kama hazungumziwi saana hasa Mara Baada ya Kutoka Wasafi, Mfano upo Katika Lile tukio la majuzi aloingia Uwanjani na msafara Kama wa rais na Zaidi ya madancers 200,,,,,,,,,,

Ebwana EEE..?.  Ujue lilikuwa tukio kubwa Sana lakini Chaajabu Raia Wala hawajastuka Hata kumuongelea🙆🙆

_

Wengine mlisema eti Oooh Sababu ile timu Haina mashabiki Ndo Sababu hajasikika .?. Siamini saana Katika Hilo Maana Hata Kama timu ilikuwa ndogo ila kwa ukubwa wa Rayvany na tukio Hilo ukizingatia Ndo Mda uleule Siku chache tu katoka Wasafi tulitegeme kwa tukio Hilo angezungumziwa ila Duuh.?.🤦🙆

.

Sababu kubwa niliyoona Ni yakutoka Wasafi, inamaana  Mashabiki Wengi kawaacha Wasafi  Sasa hivi Ndo anaanza kutafuta ngome yake yeye Sasa Kama yeye na inabidi apambane kweli ili nayeye awe na ngome yake kama Kondegang/Kondeboy Alivyojijengea ngome yake,,, 

            Vipi na Hilo🖕 nimeandika Gazeti 🤦😆🤦

Ads

Post Top Ad

Pages