Waziri wa Maliasili na Utalii,Dk Hamis Kigwangala akisaidiwa na maafisa afya wa hospitali ya mkoa ya Mount Meru baada ya kushuka kwenye helkopta akitoka eneo Magugu wilaya ya Babati mkoa wa Manyara alikopata ajali ya gari jana.