Leo August 4, 2018 Mradi wa ULGSP, ambao unatekelezwa katika Halmashauri 18 Tanzania bado upo Halmashauri ya Mji wa Njombe, leo tutaona na wananchi wa Mji wa Njombe wameupokea Mradi huu.ambao unaendelea kufanyika pia wanafaidika vipi na mladi huu