Post Top Ad

Jumamosi, 4 Agosti 2018

Maamuzi ya Naibu Waziri Mavunde baada ya kuguswa na kijana mlemavu













Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Vijana Anthony Mavunde ametoa msaada wa babaji yenye thamani ya zaidi shilingi Milion 7 kwa kijana Dominic Oscar mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) ambaye ni mlemavu wa miguu na mikono ili iweze kumsaidia katika shughuli zake za kila siku ikiwemo katika masomo yake

Ads

Post Top Ad

Pages