Post Top Ad

Alhamisi, 30 Agosti 2018

Mtawa aliejirusha “Milioni 300 zimepotea ofisini kwake”













Kamanda wa Polisi mkoani Mwanza Jonathan Shana ameelezea chanzo cha awali walichobaini kufuatia Mkurugenzi wa fedha na Mipango katika hospitali ya Rufaa BugandoSuzan Bathlomeo kufariki dunia baada ya kujirusha kutoka ghorofani.
Kamanda Shana amesema katika ofisi ambayo alikuwa anaiongoza Marehemu Suzan kulikuwa na upotevu wa fedha zaidi Milioni 300 na tayari baadhi ya wenzake wameshafukuzwa kazi.

Ads

Post Top Ad

Pages