Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli azungumza na Madiwani pamoja na Wafanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato Mkoani Geita.Agosti 30,2018.
Wakati Rais Magufuli akiwa Chato na kuzuzngumza na madiwani aligusia ishu ya sakata la makontena ambayo inaendelea kwa sasa, inayodaiwa kuagizwa kwa ajili ya waalimu